fredag den 5. marts 2010

IT Kursus

Jeg er meget glade for min blog !
Jeg har lært så meget her på itkurset.
Nu kan jeg twitte på twitter, grine af videoer fundet på youtube, snakke med min familie på mit originale sprog på skype - det er fantastisk.
Jeg er meget glad for de dygtige lærere og flinke elever som jeg har mødt her.
venlig hilsen mig.

onsdag den 3. marts 2010

mandag den 1. marts 2010

katlesi



karibuni tena leo nitawaelezea jinsi yakufachakula aina moja nitawaeleza jinsi ya kufanya katlesi.unapotaka kufanya katlesi lazima uwe na vitu hivi:

-mbatata kiasi
-samaki wa kutosha au nyama ya kutosha
-mayai kama 6
-unga wa ngano
-ndimu
-chumvi
-pilipili na pilipili manga
-mafuta 1lita
-korienda
-keroti napilipili boga


kwanza unatakiwa uchemshe mbatata,halafu unatakiwa uvuruge vuruge samaki wako na uchangaye na keroti,pilipili boga,korienda,pilipili manga,chumvi,ndimu napilipili ili zichapuke.
mbatata zikishaiva na samaki washaiva unachanganya pamoja.halafu unafanya maduara yako na
huku unatayarisha mafuta yako kwenye sufuria.kabla hujaweka jikoni pika mayai yako weka pembeni na unga uwe pembeni.weka mafuta jikoni kwa kujiandaa kuzichoma kwahiyo utachukua katlesi yako utaipaka unga kisha unaitia kwenye mayai halafu unachoma unasubiri zikisha kuwazimepata rangi unazitoa tayari kwa kuliwa.

mapish

jumatatu.01.03.10
Karibu katika site ya chakula cha zanzibar nawaofa vyakula mbalimbali na venye kuvutia.utapata vyenye spise na visivyo na spise.na katika mapishi yangu natumia nature tu.na nafikiri mtapenda